Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children

Washiriki

Washiriki 350-400 wanatarajiwa kuhudhuria kongamano pamoja na Mkutano. Washiriki watatoka katika makundi makubwa yafuatayo;

  1. Wataalamu wa Maendeleo ya Jamii kutoka sekta za umma na binafsi.
  2. Wakurugenzi kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto.
  3. Maafisa kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto.
  4. Maafisa kutoka Wizara za kisekta.
  5. Wanazuoni kutoka Vyuo na Taasisi zinazotoa mafunzo ya Maendeleo ya Jamii.
  6. Wanachama wa Chama cha Wataalamu wa Maendeleo ya Jamii (CODEPATA).
  7. Wadau wa maendeleo kutoka ndani na nje ya nchi
  8. Wenyeviti/ Marais wa Vyama vya kitaaluma.
  9. Maafisa Maendeleo ya Jamii mashuhuri
  10. Waandishi wa Habari