Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children

Wafadhili na Wadau

Mkutano huu unatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano na wabia na wafadhili mbalimbali ambao wamegawanyika katika makundi yafuatayo;

  1. Makampuni ya Biashara
  2. Mashirika yasiyo ya kiserikali
  3. Mashirika ya kimataifa
  4. Vyuo na Taasisi za elimu ya juu zinazotoa mafunzo ya Maendeleo ya Jamii.
  5. Mifuko ya hifadhi ya jamii
  6. Mamlaka na Taasisi za Serikali zinazofanya biashara
  7. Makampuni yanayomiliki vyombo vya habari