Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children

Ada ya Ushiriki

Washiriki wote wa mkutano watachangia ada ya ushiriki kiasi cha shilingi 100,000/= (Laki Moja tu). Gharama hizi zitahusisha chakula, ukumbi wa mkutano na nyaraka za mkutano. washiriki wote watajigharamia safari na malazi kipindi chote cha kongamano.

Malipo yote yafanyike kabla ya tarehe 20/11/2018

Utaratibu wa Malipo

 • 1. Kupitia Benki

 • Jina la Akaunti:

  Kongamano la Maendeleo ya Jamii 2018
 • Akaunti Na:

  40801100129
 • Tawi:

  NMB Clock Tower, Arusha
 • 2. Mitandao ya Simu

Malipo yanaweza kufanyika kwa njia ya simu (Tigo-Pesa, M-pesa, Airtel Money) kwa kuingia kwenye malipo ya serikali na kuingiza 994750000413 kama namba ya malipo

Community Development Proffesionals Annual Conference 2018

First Name

Middle Name

Surname

Occupation / Title

Gender

E-mail

Phone Number

Organisation

Region

District